Amiri jeshi mkuu wa Uturuki azungumza na Joseph Dunford

Amiri jeshi mkuu wa Uturuki Hlusi Akar azungumza na amiri jeshi mkuu wa Marekani Joseph Dunford kuhusu ushirikiano na hali  inayojiri mashariki ya kati

Amiri jeshi mkuu wa Uturuki azungumza na Joseph Dunford

Amiri jeshi mkuu wa Uturuki Hulusi Akar azungumza kwa njia ya simu na mwenziwe wa Marekani Joseph Dunford kuhusu ushirikiano katika sekta ya ulinzi na hali inayojiri  Mashariki ya Kati. Ripota wa shirika la habari la Anadolu amesekwa Hulusi Akar na amiri jeshi mkuu wa Marekani wamekutana baada ya mkutano wa NATO mjini Brussels.

Viongozi hao ikiwa ni amiri jeshi mkuu wa Uturuki Hulusi Akar na amiri jeshi mkuu wa Marekani Joseph Dunford wamezungumzia  hali inajiri katika ukanda mzima wa Mashariki ikiwa pamoja na hali ya Ukanda wa Gaza na Syria.Habari Zinazohusiana