Guatemala yafungua ubalozi wale mjini Yerusalemu

Baada ya Marekani jufungua ubalozi wake mjini Yerusalemu, Guatemala yawa taifa la pili kufungua nalo ubalozi wake mjini Yerusalemu

Guatemala yafungua ubalozi wale mjini Yerusalemu

Baada ya Marekani jufungua ubalozi wake mjini Yerusalemu, Guatemala yawa taifa la pili kufungua nalo ubalozi wake mjini humo.

Baada ya Marekani kufungua rasmi ubalozi wake mjini Yersualemu, Guatemala yafuata mkondo nayo kwa kufungua ubalozi wake mjini humo.

Guatemala limekuwa taifa lla pili kuhamisha ubalozi wake kutoka mjini Tel Aviv na kuhamia mjini Yerusalemu, mji ambao umekaliwa kimabavu na jeshi la Isreal kwa muda wa zaidi ya miaka 60.

Rais wa Guatemala Jşmmy Morales na waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu  wameshiriki katika ufunguzi wa ubalozi huo pamoja na waarifiwa tofauti.

Waziri mkuu wa Israel ametoa shukrani kwa Guatemala kwa kufungua ubalozi wale mjini Yerusalemu.

 Habari Zinazohusiana