Uchambuzi kuhusu uchaguzi

Uchambuzi uliofanywa na mtafiti kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, kiuchumi na kijamii SETA na Can ACUN

Uchambuzi kuhusu uchaguzi

Hali iliojitokeza nchini Irak na Syria  ni wazi kuwa  kulikuwa na mabadiliko makubwa  vile ilipelekea Uturuki kuwa mzigo mkubwa. Itakuwa nikujipa majukumu makubwa  kwa Uturuki kuingia katika uchaguzi.  Tufahamu kuwa hali inayoendelea na hali iliotokea katika eneo zima la  na mipakani mwa Uturuki imepelekea Uturuki kuchukuwa uamuzi wa kuandaa uchaguzi wake mkuu na wabunge Juni 24 mwaka 2018.

Wakati ambapo raömani mpya ikichorwa katika uaknda, Uturuki isipoteza muda wake katika kuandaa uchaguzi. Udhaifu hata mdogo kisaisi na kijeshi  au hata katika uchumi Uturuki ingekuwa  imetoa fursa ya kihistoria kwa Marekani au  kwa mataifa makubwa  yanayo tumaini mabadiliko ya kimakakati na kikanda.

Uamuzi uliochukuliwa wa kufanya uchaguzi katika muda ambao uliokuwa haujaopangwa ni kitendo ambacho kimeonakana kuwa kama hatari.

Hali ambayo inaoneakna nchini Irak na Syria ni hali ambayo Uturuki inatakiwa kuwa na umahiri wa kulinda mipaka yak e kwa kuwa hali ya usalama latika mataifa hayo iladhuru pia hali ya usalama wa uturuki katika mipaka yake na mataifa hayo. Eneo la Kusini mwa Uturuki ambalo linapakana na mataifa hayo, Uturuki inatakiwa kuwa ikihimairsha usalama wake kuzidisha uchunguzi.

Kama inavyotambulika kuwa kijeografia eneo iliopo ni katiba yake, Uturuki haina haikuwa na haja  kuunda seriakli katika kipindi cha miezi 6 kama  inavyofanyika katika  mataifa ya Magharibi. Katika eneo la Mashariki ya Kati, eneo ambalo  lipo katika  hali ya wasiwasi kutokana na siasa ambayo hubadilika kila wakati kuna umuhimu mkubwa kuendesha siasa yenye manufaa na yenye kuwa mahiri.

Cghaguzi wa Juni 24 kutakuwa na mabadiliko ya makubwa na katika mfumo wa uongozi na kuhakikisha kuwa Uturukimitatoa mchango wake mkubwa katika ukanda  kisiasa.  Kipndi hicho  ambacho ni kifupi cha miezi miwili kitapelekea mabadiliko  makubwa ya kitendawili katika uakanda . Kipidni hicho Uturuki itakuwa katika kipindi cha  kempeni za kuandaa uchaguzi. Uturuki imechukuwa hatua hiyo  kwa kuwa Syria  katika miaka m ya ijayo ilikuwa ifanyiwe mabadiliko, Uturuki imechukuwa uamuzi wa kuandaa uchaguzi uliokuwa ukitarajiwa mwakani  ili  kueouka  kuchapishwa kwa ramani mpya  ambayo ilikuwa ikitarajiwa.

Nchini Syria , Uturuki ilikuwa na wajibu wa kulinda maslahi ya Syria  kutokana na uafadhili uliokuwa ukitolewa na  Marekani kwa wanamgambo wa kundi la YPG  ambalo ni tawi la kundi la kigaidi la PKK. Wakati huo huo Iran na Urusi  zikiwa upande wa utawla wa Assad na Isarel ikiwa katika harakati zake  pia katika ukanda. 

Iran, Urusi na Uturuki zilikuwa mbioni katika  harakati za kutaka kusitisha na  kumaliza mapigano moja kwa moja nchini Syria. Mataifa hayo yalianda mkutano wa Astana ambao lengo lake  ni kuhakikisha suluhu la kisiasa linapatikana katika mzozo wa Syria ambao umedumu kwa muda wa miaka za mitano. 

Wakati huo huo Mareka i ina malengo tofauti na inaonekana kushirikiana na kundi la YPG.  Idara ya ulinzi ya Marekani  inalengo kutoa mafunzo lwa wanagambo wa kundi 65 000 wa kundi la kigaidi la YPG. Malipo kwa wanagambo hao ni kutoka nchini Marekani. Kundi hilo  linatishi  usalama wa Uturuki na Syria.

Kutokomezwa kwa kiasi kikubwa kwa wanamagmbo wa kundi la Daesh na makundi mengine ya kigaidi isipokuwa YPG nchini Syria imepelekea watendaji wa kimataifa  kuchukuwa   harakati mpya ambazo zitaendeshwa baada ya mapigano.  Bada ya kumalizika kwa mpnagilio ambao unaoneakna kuchukuwa muda wa miaka kadhaa, musatakabali wa Syria na ukanda mzima tayari utakuwa umeshaonekana na kufahamika.

 Uturuki inatakuwa na umuhimu kuingilia kati katika harakati hiyo kwa kuwa Uturuki ni taifa ambalo linapakana na Syria  katika eneo kubwa .  Kitenda cha kuandaa uchaguzi  kabla ya muda uliokuwa umeoangwa kuafnyika mwakani. 

Nchini Irak wanamgambo wa kundura la kigaidi la PKK wanaendelea n'a kukita mizizi. Uwepo wa wanamgambo wa lundi hilo nchini Irak ni tishio kwa usalama wa Uturuki katika mipaka yake.

Jeshil la Uturuki kwa ushirikiano n'a jeshi la Irak linaendesha operesheni dhidi y'a PKK katika eeneo la mpakani mwa Uturuki n'a Irak.operesheni hizo zina  lengo la kuawondoa wanamgambo wa PKK Irak kwa ushirikiano n'a serikali.Wanamgambo wa PKK wanatumia maeneo ya milimani kama Kandil naSinjar kama ngome zao.

Kufanyika kwa uchaguzi ambao ulitarajiwa kufanyika mwakani, kitapelekea Uturuki Kuwa na ngavu zaidi katika operesheni zirakazoendeshwa na jeshi la Uturuki dhidi ya kundi la PKK.

Uchambuzi uliofanywa na mtafiti kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, kiuchumi na kijamii SETA na Can ACUN

 

 Habari Zinazohusiana