Rais Ilham Aliev afanya ziara nchini Uturuki

Rais wa Azerbaijan Ilham Aliyev afanya ziara nchini Uturuki

Rais Ilham  Aliev afanya ziara nchini Uturuki

 Rais wa Azerbaijan Ilham Aliyev afanya ziara nchini Uturuki  ambayo tachukuwa muda wa siku mbili kauanzia Aprili 4 hadi Aprili 25.

Mkutano  kuhusu ushirikiano  baina ya Uturuki an Azerbaijan  katika kiel abacho kimefahamishwa kuwa  baraza la ushirikiano wa kimkakati  utafanyika kwa mara ya 7.

 Aliyev amefanya ziara yake ya kwanza nchini Uturuki tangu achaguliwe kuwa rais wa Axzerbaijan  Aprili 11 mwaka 2018.



Habari Zinazohusiana