Sheria mpya kwa wamiliki wa ndege zisizokuwa na rubani nchini Saudi Arabia

Sheria mpya kwa wamiliki na wapenzi wa ndege zisizokuwa na rubani nchini Saudi Arabia

Sheria mpya kwa wamiliki wa ndege zisizokuwa na rubani nchini Saudi Arabia

Msemaji wa wizara ya mambo ya ndani nchini Saudi Arabia amewattolea wito wanaomiliki ndege zisizokuwa na rubani  kujisajili na kuomba ruhusu ya kumiliki ndegeg hizo.

Msemai huyo wa wizara ya mambo ya nje amesema kuwa kusajiliwa kwa wamiliki wa ndege hizo kutatoa fursa kwao kuwekewa maeneo ambayo ndege zao zitakuwa zikiruhusiwa kuruka.

Uamuzi huo umechukuliwa baada ya masaa kadhaa kushambuliwa ndege isiokuwa na rubani na jeshi la Polisi ilioruka pembezuni mwa karsi ya mfalme mjini Riyadh Jumamosi kumkia Jumapili.

Tukio hilo lilipelekea uvumi wa jaribio la mapinduzi na kuyumbishwa usalama Saudi Arabia.

 Habari Zinazohusiana