Jaribio la mapinduzi nchini Saudi Arabia

Kundi la watu waliokuwa na silaha limejaribu kuendesha  mapinduzi baada ya kusikika kwa milio ya risasi na milipuko karibu  na karsi ya mfalme  mjini  Riyadh

Jaribio la mapinduzi nchini Saudi Arabia

Kulingana na taarifa zizlitolewa katika vyombo vya habari vya  Marekani kundi la wanajeshi limejaribu kuendesha  mapinduzi baada ya kusikika kwa milio ya risasi na milipuko karibu  na karsi ya mfalme  mjini  Riyadh.

Kulingana na taarifa ni kwamba  Walid Bin Talal anahusika katika tukio hilo.

Makabiliano ya silaha yameripotiwa mjini Riyadh ambapo ndege isiokuwa na rubani imeshambuliwa na kuangushwa.

Tukio hilo linasadikika kuwa jaribio la mapinduzi .

Msemaji wa Polisi amesema kuwa  mbaka sasa hakuna mtu yeyote amejeruhiwa wala taarifa kuhusu uharibifu uliosababishwa n'a tukio hilo. 

Tukio limetokea baada ya makabiliano yalioyokea alkhamis ampapo polisi waliauawa na wengine wanne kujeruhiwa.Habari Zinazohusiana