Rais Erdoğan azungumza na kansela wa Ujerumani kuhusu masuala tofauti ya kikanda

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumza na kansela wa Ujerumani kuhusu masuala tofauti  ya kikanda

Rais Erdoğan azungumza na kansela wa Ujerumani kuhusu masuala tofauti ya kikanda

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumza kwa njia  ya  simu na knasela wa Ujerumani Bi Angela Merkel kuhusu masula tofauti ya kikanda.

Katika mazungumzo yao viongozi hao wamezungumza pia kuhusu ushirikiano baina ya Uturuki na Ujerumani. Vile vile wamezungumzia kuhusu  mzozo wa Syria na kuafikiana kuwa  ardhi ya Syria ni huru. 

Viongozi hao waliendelea  wakizungumza kuhusu mashambulizi ya anga yaliendeshwa na Marekani kwa  ushirikiano na Uingereza na Ufaransa  Syria.

 Habari Zinazohusiana