Ujumbe unaostahili kutoka Ujerumani kwa ajili ya Uturuki

Serikali mpya nchini Ujerumani imetuma ujumbe  unaostahili kuelekea Uturuki

Ujumbe unaostahili kutoka Ujerumani kwa ajili ya Uturuki

Serikali mpya ambayo imeundwa nchini Ujerumani imetuma ujumbe  unaostahili kuelekea Uturuki.

Seriakli mpya imeundwa  kwa ushirikina baina ya chama cha CDU , CSU na chama cha SPD. 

Kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel amesema kuwa  Uturuki na Umoja wa Ulaya wanatakiwa kutatua tofauti zilizojitokeza. Hatuwezi kuficha tofauti zetu na Uturuki nyuma ya mlima .

Njia ya mazungumzo ndio nji apekee  kwa kuwa sote tunategemeana alisema Angela Merkel.

Uturuki ilijitolea kwa kiasi kikubwa kuhusu suala zima la wahamiaji na wakimbizi waliokimbia mapigano nchini Syria.

Uturuki imepokea wakimbizi zaidi ya  milioni 3. Kansela wa Ujerumani aliendelea kusema kuwa Ulaya inatakiwa  kuheshimu makubaliano yaliosainiwa na Uturuki kuhusu wahamiaji.Habari Zinazohusiana