Cristiano Ronaldo  na watoto wanaotaabika Syria

Nyota wa kabumbu wa kimataifa Cristiano Ronald  aonesha kuuzunishwa na madhila yanayowakumba watoto Syria

Cristiano Ronaldo  na watoto wanaotaabika Syria

Cristiano Ronaldo , nyota wa  kimataifa wa timu ya kabumba ya taifa ya Ureno  amepeperusha  video katika  mitandao ya kijamii akionesha kuwa anahudhunishwa na madhila yanayowakumbwa watoto katika mashambulizi Syria.

Katika ukurasa wake wa Twitter, Ronald  ametoa ujumbe unaowalenga watoto  wa Syria akiwataka kuwa na wakakamavu, kutovunjika moyo na kujiamini.

Ujumbe huo ambao umetolewa na Cristiano Ronaldo akiwa mshirika wa shirika lakujitegemea la « Save the Children » una lengo la kushawishi watendaji kukumbuka madhila ya watoto wa Syria na kutumaini  ufumbuzi wa mzozo wa Syria na kuwanusuru watoto.Habari Zinazohusiana