Waziri wa ulinzi wa Uturuki akutana na waziri wa mambo ya ndani wa Qatar

Waziri wa mambo ya ndani wa Qatar akutana na waziri wa ulinzi wa Uturuki Nürettin Canıklı

Waziri wa ulinzi wa Uturuki akutana na waziri wa mambo ya ndani wa Qatar

Waziri wa  ulinzi wa Uturuki Nurettin Canıklı akutana na mkuu wa baraza la mawaziri na waziri wa mambo ya ndani wa Qatar sheikh Abdalla bin Nasser bin Khalifa la Thani Jumanne  katika ziara yake nchini Qatar.

Waziri wa ulinzi wa Uturuki amepokelewa na viongozi hao mjini Doha.

Waziri wa ulinzi wa Uturuki alitembelea makao makuu ya  jeshi la ardhini la Uturuki  nchini Qatar.

Waandishi wa habari hawakuruhusiwa kushiriki katika mkutano  uliofanyika bain aya  waziri wa ulinzi wa Uturuki  na mawaziri wa Qatar.Habari Zinazohusiana