Trump kukutana na mwanamfalme wa Saudi Arabia

Rais wa Marekani Donald Trump na Mwanamfalme Mohammad bin Salman, Mfalme wa Saudi Arabia, wanatarajia kukutana Machi 20 White House

Trump kukutana na mwanamfalme wa Saudi Arabia

Rais wa Marekani (US) Donald Trump na Mohammad bin Selman, Mfalme wa Saudi Arabia, wanatarajia kukutana Machi 20  White House.

Sarah Sanders, msemaji wa White House ametoa taarifa rasmi  kuwaTrump atakutana na mwanamfalme wa Saudi Arabia Salman bib Abdelaziz.

"Mwanamfalme  Muhammad bin Salman, Mfalme wa Saudi Arabia, atakutana na Rais Trump Machi 20 katika White House." 

Mkutano kati ya viongozi hao wawili ulikuwa ukijadiliwa sana Marekani lakini tarehe rasmi ilikuwa haijajulikana.

Mwanamfalme Selman alitembelea Uingereza wiki iliyopita na kukutana  na Waziri Mkuu Theresa May.

Mwanamfalme Salman pia alikutana  na Malkia Elizabeth II wa Uingereza,  Mwanamfalme Charles wa Uingereza na mwanamfalme William wa Cambridge.Habari Zinazohusiana