Magaidi waendelea kuangamizwa Afrin nchini Syria

Jeshi la Uturuki lawaangamiza magaidi 3393 katika operesheni yake dhidi ya ugaidi Afrin

Magaidi waendelea kuangamizwa Afrin nchini Syria

 

Jeshi la Uturuki lawaangamiza magaidi 3393 tangu kuanza kwa operesheni yak e dhidi ya ugaidi inayoendelea Afrin Syria.

Operesheni hiyo dhidi ya ugaidi ilianzishwa kwa lengo la kupambana na magaidi na kuwaondoa mipakani mwa Uturuki na Syria.

Magaidi waliokuwa katika mipaka ya Uturuki walikuwa wakitishi amani na uturulivu nchini Uturuki.

Jeshi la Uturuki lilianzisha operesheni yake ya Tawi la Mzaituni Januari 20 kwa lengo la kuwaondoa magaidi wa PYD/YPG/PKK/KCK na Daesh  na vitisho vyao mpakani mwa Uturuki.

 


Tagi: Syria , Uturuki , Afrin

Habari Zinazohusiana