Donald Trump amfuta kazi waziri wake wa mambo ya nje Rex Tillerson

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na jarida la Washington Post rais Donald Trump amemfuta kazi waziri wake wa mambo ya nje Rex Tillerson

Donald Trump amfuta kazi waziri wake wa mambo ya nje Rex Tillerson

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na jarida la Washington Post rais Donald Trump amemfuta kazi waziri wake wa mambo ya nje Rex Tillerson.

Mike Pompeo , mkurugenzi wa CIA ameteuliwa kuwa waziri wa mambo ya nje.

 Habari Zinazohusiana