Tamasha la "Master of Cake" laanza rasmi Istanbul

Tamasha la Master of Cake limeanza rasmi mjini Istanbul nchini Uturuki

Tamasha la "Master of Cake" laanza rasmi Istanbul

Tamasha la Master of Cake limeanza rasmi mjini Istanbul nchini Uturuki.

Tamasha hilo limejumuisha wataalamu wa masuala ya keki kutoka katika pande tofauti ulimwenguni.

Dhumuni la tamasha hilo ni kuuleta pamoja ulimwengu wa keki.

Kwa wale wapendao kupika keki,au wanafunzi ambao wanataka kuongeza kipaji chao katika sekta hiyo wanakaribishwa kushiriki katika tamasha hilo wajiongezee ujuzi wao.

Tamasha hilo lililoanza siku ya Jumamosi litafanyika kwa siku moja tu.Habari Zinazohusiana