Marekani yakiri kuwa wanamgambo wa YPG/PKK wanajielekeza Afrin

Msemaji wa Marekanş Heather Nauert  asema ikiri kuwa wanamgambo wa PKK/YPG wanajielekeza Afrin nchini Syria

Marekani yakiri kuwa wanamgambo wa YPG/PKK wanajielekeza Afrin

Msemaji huyo wa Marekani amezungumza kuhusu operesheni ya jeshi la Uturuki dhidi ya ugaidi inayoendelea Afrin nchini Syria kwa lengo la kuwaondoa magaidi, katika mazungumzo yake Heather Nauert  amefahamisha kuwa  wanamgambo wa kund la kigaidi la YPG/PKK wameanza kujielekeza Afrin ,  Afrin amnbapo jeshi la Uturuki na jeshi huru la Syria linaendesha operesheni yake ya Tawi la Mzaituni.

Hayo Heather Nauert aliyazungumza kwa waandishi wa habari  katika mazungumzo  yalioandaliwa.

Msemaji huyo wa Marekani  alisema kuwa  hali inayoendelea Afrin haizuii mapambano dhidi ya kundi la wanamgambo wa Daesh.

 

 Habari Zinazohusiana