Wapalestina 6 wakamatwa wakituhumiwa kuandaa hsmabulizi dhidi ya waziri wa ulinzi wa Israel

Wapalestina 6 wakamatwa Ukingo wa Magharibi wakituhumiwa kuapanga njama dhidi ya waziri wa  ulinzi wa Israel

Wapalestina 6 wakamatwa wakituhumiwa kuandaa hsmabulizi dhidi ya waziri wa ulinzi wa Israel

Jeshi la Israel limeendesha msako Ukingo wa Magharibi na kuwakamata wapalestina 6  wakituhumiwa  kuapnga njama dhidi ya waziri wa ulinzi wa Isreal Avigdor Liberman.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na jarida la Yedioth Ahranoth ni kwamba watu hao walikuwa mbioni kutega mabomu wakilenga msafara wa waziri wa ulinzi wa Israel.

Hakuna taarifa zaidi  zilizotolewa kuhusu tukio hilo.Habari Zinazohusiana