Kumbi za sinema zafunguliwa baada ya miaka 35 Saudi Arabia

Kwa mara nyingine Saudi Arabia imeamua kufungua kumbi za sinema zilizokuwa zimefungwa miaka 35 iliyopita.

Kumbi za sinema zafunguliwa baada ya miaka 35 Saudi Arabia

Kwa mara nyingine Saudi Arabia imeamua kufungua kumbi za sinema zilizokuwa zimefungwa miaka 35 iliyopita.

Baadaya uamuzi huo kutolewa kumekuwa na pande zinazounga mkono jambo hilo huku wengine wakiwa wanapinga.

Kuna wanao amini kuwa kufunguliwa tena kwa sinema hizo kutasaidia kukuza uchumi wa nchi na vilevile kuvutia wawekezaji.

Hata hivyo wale wanaopinga wanaamini kuwa sinema hizo ni njia mbadala ya kuleta tamaduni za nchi za magharibi nchini humo,jambo linalopigwa vita.

Waziri wa zamani wa utamaduni Sultan al-Bazigi amesema kuwa kufunguliwa kwa sinema hizo ni hatua nzuri.

 Habari Zinazohusiana