Amiri jeshi mkuu wa Uturuki atembelea mpakani mwa Syria na Uturuki

Hulusi Akar amiri jeshi mkuu wa Uturuki atembelea mpakani mwa Uturuki na Syria

Amiri jeshi mkuu wa Uturuki atembelea mpakani mwa Syria na Uturuki


Jeshi la Uturuki kwa ushirikiano na jeshi huru la  Syria katika harakati zake za kukomboa eneo la Afrin na maeneo mengine yaliokaliwa na magidi amiri jeshi mkuu wa Uturuki Hulusi Akar ametembelea mpakani mwa Uturuki na Syria.

Tangu kuanza kwa operesheni ya jeshi la Uturuki Afrin iliopewa jina la Tawi la Mzaituni magaidi zaidi ya  1 600 wamekwishauawa.

Hulusi Akar akiwa pamoja na viongozi wa jeshi amezuru eneo la anga la Kilis na Hatay wakiwa katika helikopta.Habari Zinazohusiana