Magaidi 1439 waangamizwa na jeshi la Uturuki katika operesheni yake Afrin nchini Syria

Jeshi la Uturuki  lafahamisha kuwaangamiza wanamgambo wa kigaidi 1439 katika operesheni yake dhidi ya ugaidi Afrin

Magaidi 1439 waangamizwa na jeshi la Uturuki katika operesheni yake Afrin nchini Syria

Jeshi la Uturuki  lafahamisha kuwaangfamiza wanamgambo wa kundi la kigaidi  katika operesheni yake ilioanzishwa Afrin kwa lengo la kuwaondoa wanamgambo wa kundi la PKKPYD mpakani mwa Uturuki na Syria.

Operesheni hiyo ilianzishwa Januari 20 mwaka 2018.

Tangazo lililotolewa na makao makuu y jeshi la Uturuki Jumanne limefahamisha kuwa hadi kufikia sasa wanamgambo 1439 wa kundi la kigaidi wamekwishauawa katika operesheni ya jeshi la Uturuki Syria.Habari Zinazohusiana