Idara ya ulinzi ya Marekani  kutoa kiwango cha dola milioni 500 kwa kundi la PKK/PYD

Idara ya ulinzi ya Marekani kutoa kiwango cha dola milioni 500 kwa kundi la wanamgambo wa PKK/KCK/PYD-YPG

Idara ya ulinzi ya Marekani  kutoa kiwango cha dola milioni 500 kwa kundi la PKK/PYD

 

Idara ya ulinzi ya Marekani inatarajia kutoa kiwango cha dola milioni 500 kwa wanamgambo wa kundi la kigaidi la PKK/KCK/PYD-YPG.

Kwa mujibu wa ripoti iliotolewa kuhusu Syria  na idara ya ulinzi ya Marekani, dola milioni 70 zimetaarishwa  na kuongezwa  kwa lengo la wanamgambo wa kundi hilo.

Dola milioni 433 zimetaarishwa kwa lengo la  kutoa msaada wa makombora, makombora ya kushambulia vifaru  katika vikosi vya wanamgambo wa kundi la PKK/KCK/PYD-YPG.

Ripoti hiyo imesema kuwa silaha nzito 3 500 zenye thamani ya dola 17 000 kila moja  zitanunuliwa.

Dola milioni 67 zilizosalia zitatumiwa  katika matibabau na gharama za usafiri.

Kiwango cha magaidi wa kundi hilo kitaongezeka na  kufikia wapiganaji 30 000 hadi mwishoni mwa  mwaka 2018.Habari Zinazohusiana