Barua yenye mashaka yatumwa kwa familia ya Trump

Imeripotiwa kuwa mkwe wa Trump amepelekwa hospitali baada ya kufungua barua iliyokuwa na unga mweupe ndani yake.

Barua yenye mashaka yatumwa kwa familia ya Trump

Imeripotiwa kuwa mkwe wa Trump amepelekwa hospitali baada ya kufungua barua iliyokuwa na unga mweupe ndani yake.

Kwa mujibu wa habari,barua hiyo ilikuwa imetumwa kwa mtoto wa Trump,Donald Trump Jr na kufunguliwa na mkewe Vanessa Trump.

Polisi wamesema kuwa Vanessa Trump alipatwa na kichefuchefu na kukohoa baada ya kuifungua barua hiyo.

Mpaka sasa haijajulikana kwa kina unga gani mweupe hasa ulikuwa ndani ya barua hiyo.Habari Zinazohusiana