Wanawake waruhusiwa kuhudhuria mechi ya kabumbu uwanjani Saudia Arabia

Wanawake waruhusiwa kwa mara kwanza kuhudhuria pambano ya kabumbua nchini Saudi Arabia

Wanawake waruhusiwa kuhudhuria mechi ya kabumbu uwanjani Saudia Arabia

 

Kwa mara ya kwanza katika historia ya Saudia Arabia wanawake waruhusiwa  kuhudhuria uwanjani  mechi ya kabumbu.

Mechi ambayo wanawake kwa mara ya kwanza n wameruhusiwa kutazama ni pambano ambalo limekutanisha timu ya El Ehli na timu ya El Betin.

Wanawake ambao walihudhuria uwanjani mechi hiyo katika uwanja wa Jeddah wamesema kuwa wameridhishwa na n atua iliopigwa Saudi Arabia katika mabadiliko.

Mabadiliko nchini Saudia Arabia yanashuhudia katika sekta tofauti kama kuruhusiwa kuendesha magari wanawake wenye umri kuanzia miaka 25 na kuruhusiwa kutembea wakiwa peke yao .Habari Zinazohusiana