Jeshi la Israel lawajeruhi wapalestina 73 katika operesheni zake

Jeshi la Israel lawajeruhi wapalestina 73 katika operesheni zaki za kukabiliana na waandamanaji

Jeshi la Israel lawajeruhi wapalestina 73 katika operesheni zake

 

Jeshi la Israel limewajeruhi wapalestina zaidi ya 70 katika operesheni zake zilizoendeshwa dhidi ya waandamanaji wanaopinga ubepari wa Israel katika ardhi ya wapestina.

Wapalestina zaidi ya 70 wamejeruhiwa na jeshi la Israel katika maandamano ya kupinga uamuzi wa seriakli ya Marekani kutangaza kuutambua mji wa Jerusalem kama  mji mkuu wa Israel.

Watu hao wamejeruhiwa katika  katika  Ukingo wa Magharibi na eneo la mpaka na Ukanda wa Gaza.

Shirika la Kızızlay la Uturuki limefahamisha katika ripoti yake kuwa wapalestina watano walijeuhiwa  kwa risasi halisi na  wapalestina 25 kwa risasi za plastiki.

Wapalestina 154 wameathirika na gesi ambayo jeshi la Israel hutumia kwa kuwasambaratisha waandamanaji.

 Habari Zinazohusiana