Idadi ya watu waliofariki katika maporomoko ya matope California yaongezeka

Idadi ya watu waliofariki katika maporomoko ya mapote baada ya mvua kali California yaongezeka

Idadi ya watu waliofariki katika maporomoko ya matope California yaongezeka

 

Idadi ya watu waliofariki katika maporomoko ya matope yaliosababishwa na mvua California nchini Marekani imeongezeka na kufikia watu 18.

Watu 7 wakiwemo watoto wawili bado wanatafutwa baada ya tukio hilo.

Janga hilo limetokea muda mchache baada ya kukumbwa na janga la moto ambalo pia lilisababisha maafa na uharibifu California.

Moto mkali uliotokea California umepelekea baadhi ya familia kuishi katika hali ya umaskiti iliokithiri kutokana na janga hilo.

 

 Habari Zinazohusiana