Watoto wawili wauawa na jeshi la Israel katika ardhi ya wapalestina

Watoto wawili wauawa  na wengine watatu wajeruhiwa na jeshi la Israel Ukindo wa Magharibi na Ukanda wa Gaza

Watoto wawili wauawa na jeshi la Israel katika ardhi ya wapalestina

 

Jeshi la Israel lawauawa watoto wawil na kuwajeruhi wengine wawili katika shambulizi lililoendeshwa  Ukingo wa Magharibi na mpakani mwa Ukanda wa Gaza.

Msemaji wa wizara ya afya wa Palestina Eşref el-Kudra amesema kuwa watoto hoa wamefariki katika maandamano ya kupinga uamuzi wa Marekani kutangaza kuwa Jerusalem ni mji mkuu wa Israel.

Emir Abdulhamid Ebu Musaid ni mtoto wa kipalestina mwenye umri wa miaka 16 aliuawa baada ya kupigwa risasi kifuani na jeshi la Israel.

Watoto wengine watatu walijeruhiwa katika matukio hayo.

 Habari Zinazohusiana