Wanawake waruhusiwa kusafiri peke yao Saudi Arabia

Wanawake nchini Saudi Arabia sasa wanaruhusiwa kusafiri peke yao bila ya kusindikizwa.

Wanawake waruhusiwa kusafiri peke yao Saudi Arabia

Wanawake nchini Saudi Arabia sasa wanaruhusiwa kusafiri peke yao bila ya kusindikizwa.

Kwa mujibu wa habari,viza zitatolewa kwa wanawake wanaotaka kusafiri wakiwa peke yao.

Sheria hio ni kwa wanawake kuanzia miaka 25 na kuendelea.

Viza hizo zitakuwa zikidumu kwa muda wa siku thelathini tu.

Hapo awali,wanawake nchini Saudi Arabia walikuwa hawaruhusiwi kusafiri bila ya kuwa na mwanamume kutoka katika familia.

Utoaji wa viza utaanza hivi karibuni.

 Habari Zinazohusiana