Umoja wa Ulaya kutoa kiwango cha Euro milioni 25 kwa Uturuki kukidhi mahitaji ya wakimbizi

Shirika la kimataifa la kuhudumia wakimbizi latoa kiwango cha Euro milioni 25 kwa Uturuki ili kukidhi mahitaji ya wakimbizi

Umoja wa Ulaya kutoa kiwango cha Euro milioni 25 kwa Uturuki kukidhi mahitaji ya wakimbizi

 

Shirika la Umoja wa Mataifa la UNHCR limefahamisha kutoa kiwango cha Euro milioni 25 kwa Uturuki kwa lengo la kukidhi mahitaji ya wakimbizi nchini Uturuki.

Kiwango hicho cha pesa ni kwa lengo la kutoa msaada kwa wakimbizi na wajhamiaji wanaoomba hifadhi nchini Uturuki na kuunga mkono juhudi za Uturuki katika kutoa usaidizi kwa wakimbizi walioko katika ardhi yake.

Umoja wa Ulaya katika bajeti yake  na misaada katika matukio ya dharura ya kibinadamu kiwango hicho cha fedha ni kwa lengo hilo la kutoa msaada kwa wahamiaji na wakimbizi nchini Uturuki.

Pesa hizo zitatumika katika mikao 18 ambapo uongozi utawajibika katika suala la wahamiaji wanaoomba hifadhi nchini Uturuki na ufuatiliwaji wake.

 


Tagi: wakimbizi , EU , UU , UNHCR , Uturuki

Habari Zinazohusiana