Rais wa Marekani atao matamshi makali dhidi ya wahamiaji kutoka Afrika na Amerika-Kusini

Rais wa Marekani Donald Trump  awakashifu wahamiaji kutoka barani Afrika na Amerika-Kusini akisema kuwa wanatoka katika mataifa  machafu

Rais wa Marekani atao matamshi makali dhidi ya wahamiaji kutoka Afrika na Amerika-Kusini

Rais wa Marekani atao matamshikali dhidi ya wahamiaji kutoka Afrika na Amerika-Kusini

Rais wa Marekani Donald Trump atoa matamshi makali dhidi ya wahamiaji kutoka  katika mataifa ya Afrika na mataifa ya Amerika-Kusini na Kati kama Al Salvador na Haiti.

Hayo rais wa Marekani aliyazungumza katika mkutano uliofanyika ikulu mjini Washington.

Kwa mujibu wa habari zilizotolewa na vyanzo vya habari nchini Marekani, rais Trump alitoa matamshi makali dhidi ya wahamiaji.

Seneta wa jimbo la Carolina-Kusini  Lindsey Graham na seneta wa  Illinois Dick Durbin walishiriki pia ktika mkutano huo.

Taarifa zilizochapishwa zimefahamisha kuwa Trump aliskika akisema kuwa kwanini tunataraji kupokea watu kutoka katika mataifa machafu badala ya kupokea watu kutoka Norway.

Rais wa Marekani amezungumzia kuhusu bahati nasibu ya kitambulisho cha ukazi maarufu kwama « Green Card ». kuhusu suala hilo ndipo aliposema kuwa kwanini wanachukuliwa watu kutoka katika mataifa machafu kuliko kuchukuwa watu kutoka Norway.

Trump katika kipindi chake cha kwanza cha uongozi amekuwa akishambulia wahamiaji mara kwa mara .

Muda uliopa uongozi wa Trump ametoa muda wa miezi 18 kwa raia 200 000 kutoka El Salvador ambao walopokelewa Marekani baada ya tetemeko la ardhi na kupewa hifadhi  mwaka 2001 kurudi kwao au kurejeshwa kwa nguvu.Habari Zinazohusiana