Mke wa rais wa Uturuki amualika mke wa rais wa Ufaransa

Emine Erdoğan mke wa rais wa Uturuki amualika Brigitte Macron mke wa rais wa Ufaransa Emmanel Macron

Mke wa rais wa Uturuki amualika mke wa rais wa Ufaransa

 

Mke wa rais wa Uturuki Bi Emine Erdoğan amepeperusha picha akiwa na mke wa rais wa Ufaransa  katika ukurasa wake wa Twitter.

Mke wa rais Erdoğan alishirikiana na rais Erdoğan katika ziara yake nchini Ufaransa Januari 5 , amepeperusha picha zake akiwa na mke wa rais wa Ufaransa  Bi Brigitte Macron katika ukurasa wake wa Twitter.

Katika mazungumzo yao mke wa rais Erdoğan na Macron walizungumza  kuhusu hali ya wakimbizi na elimu na kuonesha umuhimu wa elimu na ujuzi wa lugha ya kigeni wakati unahitaji kuishi vema katika taifa la hifadhi.

Kuhusu wakimbizi wa jamii ya Rohingya Myanmar mke wa rais  wa rais wa Ufaransa amempongeza mke wa rais Erdoğan.

 Habari Zinazohusiana