Vipi iwapo mji wa Jerusalem utaanguka?
Jerusalem ni jiji mtakatifu kwa wailsmu, ni jiji takatifu kwa wayahudi na jiji takatifu kwa wakristu…

Mada yetu ya leo imefafanuliwa na kutaarishwa na Profesa Daktari Kudret BÜLBÜL kutoka chuo kikuu cha Yıldırım Beyazit mjini Anlkara kitengo cha sayansi ya siasa.
Jerusalem ni jiji mtakatifu kwa wailsmu, ni jiji takatifu kwa wayahudi na jiji takatifu kwa wakristu… kwa waislamu ndio kibla ya kwanza katika iamni yao,Mtume Muhammad alşfanya safari ya usiku mmoja, safari ambayo inatambulika kama safari ya miraji. Shairi liliotungwa na Sezai Karakoç’ linasema kuwa Jerusalem ni mji ulitukuzwa na kuwekwa juu na kushushwa.
Baada ya Sultan Yavuz Selim mwaka 1516 kuchukuwa uongozi Jerusalem watu wa imani na tamaduni tofauti waliishi kwa amani na upendo chini ya utawala wa Ottoman au Othmania hadi mwaka 1917. Uongozi huo ambao ulikuwa mfano wa kuigwa na amani iliokuepokatika kipinid cha miaka 401. Katika wakati huo kulisainiwa mkataba wa Amani wa Ottoman. Wakaazi katika mji wa Jerusalem walikuwa na amnai ambayo haikuwa na mfano.
Kwa muda mrefu ambao ni karne 4 na mwaka mmoja hali ya maisha katika miji mitatu mitakatifu ilikuwa miji ya kutolewa mfano. Mashariki ya Kati jiji la Macca, Madina na Jerusalem ilikuwa ni taa a mbalo lilikuwa likimulika amani ulimwengu mzima.
Hali liopo kwa sasa inatambulika kwa kuwa Israel imegeuza mji wa jerusalem Mashariki ya Kati kuwa mji wa dam una kichaka cha maovu.
Uamuzi wa Marekani kuhus jiji la Jerusalem na msimamo kuhus Jerusalem
Uamuzi wa Marekani kutangaza kuutambua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel kulizua muamko mkubwa Marekani na ulimwenguni kote. Ulimwengu ulijiuk-nga kupinga uamuzi huo ambao uliipa Israel madaraka ya kinyume na sheria umiliki wa Jerusalem.
Licha ya vitisho vilivyotolewa na Mrekani kukata misaada kwa mataifa ambayo yangepiga kura dhidi ya uamuzi wa Marekani kutangaza kuutambua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel, baada ya mkutano wa baraza la usalam la umoja wa Mataifa Marekani kuzuia msauda kwa kura yake ya turufu, Baraza kuu la umoja wa Mataifa liliamua na kupiga kura dhidi ya uamuzi wa Marekani bila ya kujali vitisho. Katika mkutano wa baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa , matifa 14 yalipiga kura kupinga uamuzi wa Marekani na Marekani kuzuia kwa kura yake ya turufu.
Ulimwengu wa kiislamu, mataifa ya Umoja wa Ulaya, mataifa ya bara la Afrika, Amerika Kuisi na mataifa ya Mashariki ya Kati ni nadra sana kuona uamuzi unachukuliwa kwa pamoja bila ya mvutano.
Ni mara ya kwanza katbisa katika historia ya Umoja wa Mataifa kuona kuwa uamuzi wa Marekani na Israel unapingwa kwa wingi katika baraza la Umoja wa Mataifa. Ulimwengu ulisimama pamoja kupinga uamuzi wa Marekani.
Maandamano ya kupinga uamuzi huo wa Marekani yalifanyika katika matifa tofuati kote ulimwenguni na ikiwemo nchini Marekani na Israel.
Kutokana na uamuzi huo Uturuki ilitoa wito wa mkutano wa mataifa ya kişislamu ulioafanyika mjini Isatnbul ulitoa tamko la pamoja ambalo lilikuwa katika mstari wa kwanza kuukomboa mji wa Jerusalem. Viongozi tofauti ulimwenguni kama rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan , Papa Francis kiongozi wa kanisa katoliki ulimwenguni, rais Putin na viongozi wengine barani Ulaya walionesha msimamo mkali dhidi ya uamuzi huo wa seriakli ya Marekani.
Mji wa Jerusale umeweka pamoja mataifa ya kiislamu ambayo yapo katika matatizo. Mataifa ya Umoja wa Ulaya na namataifa ya kiislamu kwa mara nyingine yamejipata katika msimamo mmoja kuhusu suala hilo.
Uamuzi wa Marekani kuhusu jiji la Jerusalem imepelekea uamsho wa fikra ulimwenguni kuhusu mgogoro wa Palestina. Jambo hilo linaonekana kukaribia ukingoni na kuwa ardhi ya haki na sheria.