Uchambuzi wa Matukio

Uchambuzi wa Matukio

Uchambuzi wa Matukio

Maajabu ya binadamu kuendeleza mbiınu za kivita kwa kutumia teknolojia na historia ya binadamu yamonekana kuzidi kuongezeka kote ulimwenguni. Binadamu amekuwa katika ulimwengu ambao umekumbwa na mapigano kila wakati. Watu wakale  walikuwa wakitumia mawe kwa kujihami na kutafuta chakula kwa kuwinda wanyama pori. Imekuwa ada kwa binadamu kutumia mbinu tofauti ili kuendelea kujihami usiku na mchana.

Binadamu alikuwa akifunga jiwe kwenye kamba ambayo ilikuwa na uwezo wa kulirusha na kufika katika eneo ambalo lilikuwa likikusidiwa kufika. Binadamu alongeza ujuzi kwa kuwa baadhi ya silaha zilzikuwa hazina uweza wa kumfikisha binadamu katika kipindi cha kale katika malengo yake. Binadamu kwa mfano alishindwa kumkaribia mnyama ambae alikuwa akihitaji kumdhibiti na kuwa kitoeo chake. Wakati wa kuwinda wawindaji hawakuwa na uwezo wa kufikia na kuwakamata baadhi ya wanyama wakali waliokuwa na nguvu zaidi ya binadamu na uwezo wa kuwamalizia maisha.

Kuna baadhi ya jamii hadi sasa bado wanatumia mbinu hizo kwa mafaanikia kwa kukamata wanyama.

Mwanzoni ilikuwa na chuma ambacho kilikuwa na chongo kinachowekwa mbele kama mkuki na kuwa na uwezo iwapo utatumiwa na mtu mwenye nguvu kukabiliana na mnyama pori.

Rais wa Marekani Donald Trump aliahidi katika kampeni zake za uchaguzi kuwa atajihusisha na masuala tofauti ikiwemo amani ulimwenguni na kutambua mji mkuu kwa taifa la Israel . Uongozi wa Trump na muonekano wa kisiasa Asia ya Pasifiki unaonekana kuhusisha pia ulimwengu wa Magharibi.  Ufafanunuzi wa mkuki na chuma mbele yake unaashiria jambo sahihi.

Trump aliahidi  kupambana na hali isioridhisha ulimwenguni kutokana na ghasia  zilikuwa huku na kule na uahidi kuwa ushirikiano katika atua ya kimataifa utakuwa mkubwa. Rais wa Marekani aliskika mara kwa mara akikimea utawala wa Obama kuwa chanzo cha maghasia namachafuko.

Trump alifikia kusema kuwa kundi la wanamgambo wa Daesh  liliundwa na utawala wa rais Obama.

Uhadi ilitolew a na Trump wakati wa kampeni ilikuwa ni kupambana na ghasia na hali ya mizozo iliokuwa imejitokeza huku na kule chini ya utawala wa rais Obama na serkali yake.

Iwapo tutatupilia mbali yale yanaoyotendwa na Trump chini ya mwavuli wa Marekani yanayozungumziwa na waandishi wa habari basi tutakuwa tumethibitisha kuwa mkuki ni chongo yake.

Katika mikakati ya Marekani ilikuwa ikifahamisha katika wakati huo basi Trump atakuwa nii mpini na chongo yenyewe ya mkuki na Marekani.

Mkakati katika ulizi wa taifa na seriakli ya Trump ni wakaushngaza. Mkakati unahitaji kupewa ruhusa na viongozi  wanaomzunguka. Lengo lake ilikuwa ni kuimarisha usalama na kuondoa ghasia ambazo zingepelekea hali isikuwa ya kawaida.

Kutokana na hilo tunaweza kufikia katika kuchukua msimamo katika mtazamo. Tatizo la usalama wa taifa wa ndani Marekani chanzo chake kipo ndani ya Marekani. Kitendo hicho kitaifanya Marekani  kuwa katika kipindi kigumu.

 

Kwa kuwa ulimwenguni kote hakuna taifa mbalo linaweza kuingilia kati  katika suala la  hilo ambalo linahusu Marekani. Kisitoria inafahamika kuwa wanasayansi na wanasiasa walipinga siasa ya kiongozi wa wkati huo ambae ni Adolf Hitler katika utwala wa kinazi.

Vile vile nchini Austria ambapo kulikuwa na utawala  uliokuwa ukifanana na huo  wapinzani nahata wanachaöa wa mlengo wa kulio walipinga utawala uliokuepo na viongozi wake.

Idara ya upelelezi nchin Austria Kurs Sabastian waziri  mkuu mpya kuwa na ushirikiano na wanazi. Taarifa nyingi zizlitolewa kuhusu siasa za Umoja wa Ulaya na kutangaza kuondoka katika ulimwengu wa Magharibi na siasa zake.   

Hali hiyo nchini Marekani imejitokeza.  Shirika la ujasusi la Marekani CIA  limezungumzia kuhusu waziri mkuu, waziri wa ulinzi na kusema kuwa linalinda ulinzi katika utawala wa Trump. Wadadi wa mambo wanasema kuwa mashirika kadhaa yamemuacha Trump kutoka na na kile ambacho kimeonekana kuwa anajaribu kwenda mbali zaidi kuliko ilivuokuwa kawaida.

Nchini Marekani kwa sasa ulimwengu umeshuhudia kinyume kwa kuwa baraza la kongres, baraza la seneti na wanadiplomasia katika ikulu walikuwa wakijaribu kuiweka dunia katika usawa kwa kiasi kadhaa kinyume na sasa.Habari Zinazohusiana