Mwanamfalme wa Saudi Arabia ananua nyumba ya faghari nchini Ufaransa

Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed Ben Salman anunua nyumba ya faghari kwa thamani ya dola milioni 301

Mwanamfalme wa Saudi Arabia ananua nyumba ya faghari nchini Ufaransa

 

Mwanamfalme wa Saudi Arabia kwa jina la Mohammed Ben Salman amenunua nyumba ya faghari nchini Ufaransa , nyumba ambayo  ilikuwa ya mfalme  Louis XIV mjini Paris.

Taarifa zinafahamisha kuwa baada ya kununua picha ya Leonardo de Vinci ilikuwa na picha inayofafanuliwa kuwa picha ya Yesu kwa muujibu wa imani ya kikristo kwa thamani ya dola milioni 450.

Picha hiyo ilinunuliwa meizi miwili iliopita.

Jarida la New York Times limefahamisha kuwa nyumba hiyo imetolewa pesa na  mashirika yalioko nchini Ufaransa naLuxemburg yanayomilkiwa na Einght Investment ya Salman.

Mwanamfalme huyo amejipatia umaarufu kwa vita alivyotangaza dhidi ya rushwa na ufisadi.

Nyumba hiyo ambayo ni nyumba yenye thamani kubwa ulimwenguni inapatikana  mjini Louveciennes karibu na Versailles.

Jarida la Forbes  limesema kuwa nyumba hiyo ni nyumba yenye thamani kubwa ulimwenguni.

Katika nyumba hiyo kunapatikana machupa 300 000 ya mvinyo, chumba cha sinema, sehemu ya kuogealea, klabu ya usiku na maktaba.Habari Zinazohusiana