Saudi Arabia yalaani uamuzi wa Trump kuhusu Jerusalem
Mfalme wa Saudi Arabia alaani uamuzi wa Trump kutangaza serikali yake kutambua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

Mfalme wa Saudi Arabia alaani uamuzi wa Trump kutangaza serikali yake kutambua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel
Mfamle wa Saudi Arabia alaani uamuzi wa Trump kuhusu Jerusalem , uamuzi ambao unakiuka mikataba ya kimataifa ya kihistoria na kuwanyima wapalestina haki yao.