Jerusalem- Mashariki kutambuliwa kama mji mkuu wa Palestina

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu asema kuwa Jerusalem-Mashariki inatakiwa kutambuliwa kama mji mkuu wa Palestina

Jerusalem- Mashariki kutambuliwa kama mji mkuu wa Palestina

 

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki amesema katika ufunguzi wa mkutano mjini Istanbuli kuwa Jesrusalem-Mashariki inatakiwa kutambuliwa kama mji mkuu wa Palestina.

Mkutano wa shirikisho la kiislamu umeng oa nanga mjini Istanbul nchini Uturuki.

Mkutano huo umanza kwa kuonana  kwanza mawaziri wa mambo ya nje kutoka katika mataifa ya kiislamu.

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki ametoa hotuba yaa ufunguzi ya mkutano huo Istanbul.

Mevlüt Çavuşoğlu amezidi kusema kuwa Jerusalem-Mashariki itambuliwa kama mji mkuu wa Palestina chini ya mipaka ya mwaka 1967.Habari Zinazohusiana