Vyama viwili  Ujerumani vyamtuhumu Trump kuwasha moto Mashariki ya Kati

Vyama viwili ikiwemo cha mlengo wa kushoto vimetuhumu rais Trump kuwasha moto Mashariki ya Kati baada ya kutangaza kutambua Jerusalemu kama mji mkuu wa Israel

Vyama viwili  Ujerumani vyamtuhumu Trump kuwasha moto Mashariki ya Kati

 

Jarida la Die Zeit la Ujerumani limewanukuu viongozi wa vyama vya  mlengo wa kushoto  wakilaani na kumtuhumu rais wa Marekani Donald Trump kuwasha moto Mashariki ya Kati kwa kutangaza kulitambua jiji la Jerusalem kama mji mkuu wa Israel.

Kwa mujibu wa viongozi wa vyama hivyo aliechukuwa uamuzi huo ndio muhusika wa ghasia zitakazotokea Mashariki ya Kati.

Mtu mwenye busara angeandaa mfumo mpya wa mazungumzo kuliko kuzua utatu na mlipuko Mashariki ya Kati.Habari Zinazohusiana