Rais Erdoğan aitaka Ugiriki kutowahifadhi wahaini wa FETÖ

Rais wa Uturuki,Recep Tayyip Erdoğan ameiomba Ugiriki kuwarudisha Uturuki wahaini wote wa FETÖ.

Rais Erdoğan aitaka Ugiriki kutowahifadhi wahaini wa FETÖ

Rais wa Uturuki,Recep Tayyip Erdoğan ameiomba Ugiriki kuwarudisha Uturuki wahaini wote wa FETÖ.

Wakati wa mkutano na waandishi wa habari rais Erdoğan amemwambia waziri mkuu wa Ugiriki Alexis Tsipras kuwa haki iliyocheleweshwa  haina tofauti na haki iliyonyimwa.

Kwa mujibu wa habari,rais Erdoğan amesema kuwa hakuna mateso yoyote Uturuki na kuwa kuwafukuza wahaini hao kutoka Ugiriki ni jambo dogo.

Mwanzoni mwaka huu,mahakama ya Ugiriki iligoma kuwarudisha wanajeshi wa zamani wa Uturuki 6 walioshutumiwa kujihusisha na FETÖ..

Kundi la FETÖ ndilo linahusishwa kuhusika na jaribio la mapinduzi lililotokea Uturuki Julai 15 2016.

 Habari Zinazohusiana