Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kukutana ili kujadili uamuzi wa Trıump kuhusu Jerusalem

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kukutana ili kujadili umauzi uliochukuliwa na serikali ya rais Donald Trump kuhusu jiji la Jerusalem

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kukutana ili kujadili uamuzi wa Trıump kuhusu Jerusalem

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lafahamisha kukutana kwa dharura ili kujadili uamuzi uliochukuliwa na rais wa Marekani kuhusu jiji la Jerusalamu.

Trump alitangaza rasmi Jumatano kuwa serikali yake inatambua jiji la Jerusalem kama mji mkuu wa Israel licha ya kutahadharishwa na viongozi tofauti ulimwenguni akiwemo Papa Francis kiongozi wa kanisa katoliki ulimwenguni.

Mkutano huo umetolewa  wito na Uruguay punde tu baada ya muda mchache Trump kutangaza kulitambua jiji la Jerusalemu kama mji mkuu wa Israel.

Uruguay, Ufaransa, Bolivia, Misri, Senegal, Uswidi, Uingereza na Italia ndio wanachama wa Baraza la Usalama wa Umoja wa Mataifa watakaoshiriki katika  mkutano huo.Habari Zinazohusiana