Rais Erdoğan azungumzia kuhusu kashfa katika mazoezi ya jeshi la NATO

Rais wa Uturuki  Recep Tayyıp Erdoğan azungumzia kuhusu kashfa katika mazoezi ya jeshi la kujihami la Magharibi NATO

Rais Erdoğan azungumzia kuhusu kashfa katika mazoezi ya jeshi la NATO

Rais wa Uturuki  Recep Tayyıp Erdoğan azungumzia kuhusu kashfa katika mazoezi ya jeshi la kujihami la Magharibi NATO

Rais Erdoğana amesema kuwa vile Uturuki innavyozidi kujizatiti na  kuwa imara, ndivyo mashambulizi ya kila namna yanazidi kuongezeka dhidi ya Uturuki.

Rais Erdoğan katika kongamano la 6 la mikao la chama tawala AK mjini Rize, rais wa Uturuki amesema kuwa vitendo visivyoridhisha ambavyo vimetedwa nchini Norway, havijatendwa na watu wasiojitambua bali watu ambao walijua vema kile wanachofanya.

Kitendo kilichofanywa nchini Norway ni kitendo cha kukemea.

Rais Erdoğan amesema kuwa Afrin nchini Syria na Manbij ni miji ambayo itakombolewa na kurejeshwa kwa wakaazi wake.

 Habari Zinazohusiana