Rais Erdoğan aituhumu Marekani kufadhili makundi ya kigaidi Syria

Rais Erdoğan aituhumu Marekani kufadhili makundi ya kigaidi kama PKK/PYD/YPG nchini Syria

Rais Erdoğan aituhumu Marekani kufadhili makundi ya kigaidi Syria

Rais Erdoğan aituhumu Marekani kufadhili makundi ya kigaidi kama PKK/PYD/YPG nchini Syria

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan amefahamisha kuwa Marekani inatoa msaada wa kifedha kwa makundi ya kigaidi kama PKK-PYD-YPG ambayo inadai kuyarumia katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh nchini Syria.

Rais Erdoğan amesema kuwa raia wa Manbij waliondolewa katika eneo lao na kupewa wanagambo wa PYD/YPG na sasa muda umewadia wa raia kurejea katika eneo lao.

Rais Erdoğan alizungumza na waandishi wa habari kuhusu ziara yake nchini Urusi Kuweit na Qatar.

Juhudi za kutafuta amani ya kudumu nchini Syria  kwa mazungumzo zinatakiwa kuzidi kuungwa mkono.Habari Zinazohusiana