Rais Putin na rais Erdoğan wafanya mkutano na waandishi wa habari

Rais Erdoğan asema kuwa ameafikiana na rais Putin kuimarisha ushirikiano katika nyanja tofauti

Rais Putin na rais Erdoğan wafanya mkutano na waandishi wa habari

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan amesem kuwa  Uturuki itashirikiana na Urusi katişka kuimarisha ushirikiano katika nyanjja tofauti.

Rais Erdoğana alijiekeza nchini Urusi katika ziara yake rasmi nchini Urusi ambapo alifanya mzaungumzo na rais Vladimir Putin.

Katika ziara yake hiyo alifanya mkutano na waandishi wa habari akishirikiana na rais Putin.

Katika mazungumzo yao viongozi hao walifahamisha kuwa  ushirikiano katika siasa na kuondolewa vikwazo vilivyokuwa vimewekwa katika sekta ya kilimo na viza umeimarika.

Ushirikinao katika sekta ya uchumi pia umezungumziwa. Habari Zinazohusiana