Rais Erdoğan awasili nchini Kuweit

Rais Recep Tayyıp Erdoğan amewasili nchini Kuweit katika zairayake rasmi

erdogan-ganim.jpg

 

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan amewasili nchini Kuweit kufuati mualiko kutoka kwa amiri  Sabah el-Ahmed el-Jabir es-Sabah El Sabah.

Rais Erdoğan amepokelewa na naibu waziri, waziri wa mambo ya nje na waziri mkuu al Khalid al Sabah.

Rais wa Uturuki alipokelewa na msemaji wa bunge Merzuk al Ghanim na waziri mkuu Sheikh  Jabir ali Mubarak al Hamad.

Katika ziara yake hiyo nchini Kuweit , rais wa Uturuki atasaini mikataba ya ushirikiano baina ya nchi hizo mbili.

Baada ya ziara yake hiyo nchini Kuweit, rais Erdoğan atajielekeza nchini Qatar.

 Habari Zinazohusiana