Idadi ya watu waliofariki katika tetemeko la ardhi mpakani mwa Iraq na Iran yaongezeka

Idadi ya watu waliofariki katika tetemeko la ardhi lililotokea mpakani mwa Iraq na Iran yaongezeka na kufikia watu 407

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7,3 lilikumba eneo la mpakani mwa Iraq na Iran katika usiku mwa Jumapili kuamkia Jumatatu lilisababisha vifo vya watu 6 na kadri muda unapozidi kupita idadi ya watu waliofariki inazidi kuongezeka.

Hadi kufikia sasa taarifa zasema kuwa watu 407 ndio wamekwisha fariki.

Tetemeko hilo pia limesabisha watu 6 700 kujeruhiwa.

Kwa mujibu wa taarifa zilzitolewa na Ismali Neccar, shuhuli za uokozi bado zinaendelea  kwa kuwa tetemeko hilo lilisababisha uharibifu mkubwa.

 Habari Zinazohusiana