Saudi Arabia yatolea wito Umoja wa mataifa ya kiarabu kuhusu Iran

Saudi Arabia yatolea wito mkutano Umoja wa mataşfa ya kiarabu kwa ajili ya Iran  kuingilia kati masuala ya kikanda

Saudi Arabia yatolea wito Umoja wa mataifa ya kiarabu kuhusu Iran

 

Serikali ya Saudi Arabia yatolea wito wa mkutano mataifa ya Umoja wa kiarabu kwa ajiili ya Iran kuingilia kati masuala ya kikanda mjini Cairo nchini Misri.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na  vyanzo vya habari nchini Misri, mkutano huo unatarajiwa kufanyika Jumapili. 

Mkutano huo utajumuisha mawaziri wa mambo ya nje wa mataifa ya kiarabu.

Riyadh ameomba Umoja wa Mataifa ya kiarabu kufanya mkutano wa dharura mjini Cairo kuhusu Iran kuingilia kati masuala tofauti ya kikanda.

Hadi kufikia sasa hakuna taarifa zaidi ambazo zimetolewa na Umoja wa mataifa ya kiarabu na wala na Saudi Arabia kuhusu mkutano huo.Habari Zinazohusiana