Waziri mkuu wa Uturuki akutana na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa

Waziri mkuu wa Uturuki , Binali Yildirim,alhamisi amaekutana na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa , Antonio Guterres, ambapo mkutano wao uliangazia maswala ya kanda.

Kulingana na habari kutoka shirika la Anadolu, waziri mkuu wa Uturuki amesema kuwa amemuleza Guterres vita inaoendeshwa na Uturuki katika mapambano na ugaidi, pia wameongelea maswala kuhusu  wahamiaji na wakimbizi.

Yildirim alisema pia kuwa wameongelea mgogoro wa kisiwa cha Cyprus, hali inaojiri Lybia, Iraq, na Syria. Habari Zinazohusiana