Theresa May atoa siku maalum ya Uingereza kujitoa EU

Waziri mkuu wa Uingereza Bi Theresa May ametangaza siku maalum ya Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya.

Theresa May atoa siku maalum ya Uingereza kujitoa EU

Waziri mkuu wa Uingereza Bi Theresa May ametangaza siku maalum ya Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya.

Kwa mujibu wa habar,Uingereza inatarajia kuondoka rasmi EU mnamo 29 Machi 2019.

Tarehe hiyo inatarajia kujadiliwa kwa kina na wanashera nchini humo wiki ijayo.

Bi May amesisitiza na kusema Uingereza inajitoa EU bila gumzo na hahitaji mtu yoyote kuuliza maswali zaidi kuhusu suaia hilo.

Uingereza inatarajia kumaliza mahusiano na Umojan wa Ulaya yaliyodumu kwa muda wa miaka 46.

Tagi: EU , Uingereza

Habari Zinazohusiana