Rais Erdoğan kuelekea nchini Urusi ifikapo Novemba 13

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan anatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini Urusi ifikapo Novemba 3

Rais Erdoğan kuelekea nchini Urusi ifikapo Novemba 13

 

Kwa mujibu wa taarifa kutoka ikulu ya rais mjini Ankara rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan atafanya ziara rasmi nchini Urusi ifikapo Novemba 13.

Katika ziara yake hiyo nchini Urusi, rais Erdoğan atakutana na rais Vladimir Putin.

Ushirikiano katika sekta tofauti baina ya Uturuki na Urusi utajadiliwa ikiwemo hali inayojiri nchini Syria.

 Habari Zinazohusiana