Mkataba wa mfumo wa ulinzi wasainiwa baina ya Uturuki, Ufaransa na Italia

Mawaziri wa ulinzi wa Uturuki, Ufaransa na Italia wasaini mkataba wa ushirikiano katika ujenzi wa mfumo wa kujihami na makombora

Waziri wa ulinzi wa Uturuki Nurettin Canikli, waziri wa ulinzi wa Ufaransa Florence Parly na waziri wa ulinzi wa Italia  Roberta Pinatti  wamesaini mkataba wa ushirikiano katika ujenzi wa mfumo wa kujihami na makombora katika mkutano wao.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na vyanzo vya habari ni kwamba mkutano wa mawaziri hao ulifanyika baada ya mkutano wa mawaziri wa ulinzi wa shirikisho la kujihami la Magharibi la NATO uliofanyika mjini Brussels nchini Ubelgiji.

Taarifa hiyo ilizidi kufahamisha kuwa Eurosam kwa ushirikiano na wataalamu wa teknolojia ya kijeshi wa Uturuki watafanya utafiti ili kufaanikisha mradi huo kwa mahitaji ya mataifa hayo matatu.Habari Zinazohusiana