Marekani,nchi yenye madeni zaidi duniani

Marekani imeripotiwa kuwa ni nchi yenye deni kubwa kuliko nchi nyingine duniani.

Marekani,nchi yenye madeni zaidi duniani

Marekani imeripotiwa kuwa ni nchi yenye deni kubwa kuliko nchi nyingine duniani.

Ripoti zilizotolewa na shirika la fedha duniani  IMF(International Monetary Fund) zimeonyesha kuwa Marekani ina deni la $ trilioni 19 na bilioni 940.

Kwa mujibu wa habari,jumla ya madeni katika benki zote duniani ni $ trilioni 63 huku Marekani ikichukua nafasi ya kwanza.

Baada ya Marekani inafuatia Japan $ trilioni 11 huku China ikiwa na deni la $ trilioni 5.

Katika nafasi ya nne kuna Italia $ trilioni 2 milioni 454 na Ufaransa katika nafasi ya tano ikiwa na deni la $ trilioni 375 bilioni.

 Habari Zinazohusiana