Watu watano wapoteza maisha kwenye shambulizi nchini Afghanistan

Shirika la habari la FP liliripoti kuwa watu watano, ikiwa ni pamoja na polisi wawili, waliuawa katika mashambulizi  kwenye kituo cha polisi katika jimbo la Faryab, kaskazini mwa Afghanistan, siku ya Ijumaa

Watu watano wapoteza maisha kwenye shambulizi nchini Afghanistan

Shirika la habari la FP liliripoti kuwa watu watano, ikiwa ni pamoja na polisi wawili, waliuawa katika mashambulizi  kwenye kituo cha polisi katika jimbo la Faryab, kaskazini mwa Afghanistan, siku ya Ijumaa.

Naimatullah Tofan, mkurugenzi wa usalama wa mji wa Dawlat Abad, aliambia Anadolu kwamba watu wasiojulikana walishambulia kituo cha polisi katika mji huo, na kuua watu watano, ikiwa ni maafisa wawili wa polisi na walinzi watatu.

Mpaka sasa, hakuna aliye dai kuhusika na shambulizi hilo.Habari Zinazohusiana