Watu zaidi ya 20 wamefariki katika moto California nchini Marekani

Idadi ya watu waliofariki kufuatia moto mkali uliozuka katika jimbo la California yaongezeka na kufikia watu 21

Watu zaidi ya 20 wamefariki katika moto California nchini Marekani

Idadi ya watu waliofariki kufuatia moto mkali uliozuka katika jimbo la California yaongezeka na kufikia watu 21

Watu zaidi ya 20 wameripotiwa kufariki katika moto wa msitu uliozuka katika jimbo la California nchini Marekani.

Moto huo umekiwisha chukuwa muda wa siku tatu bila ya vikosi vya kuzima moto kufaulu kuzima moto huo.

Watu zaidi ya 100 hawajulikani walipo.

Nyumba zaidi ya 3 500 zimeteketea kwa moto.

Upepo na ukame vinapelekea zoezi la kuzima moto huo kuwa gumu.

Watu zaidi ya 5 000 wameondolewa katika mji wa Calistoga na kupelekwa mahali salama.

 Habari Zinazohusiana